Posts

Showing posts from July, 2017

Hatua za kufuata unapotaka fanya application Muhimbili university.

APPLICATION PROCEDURES STEP 1 :: READ APPLICATION REQUIREMENTS Please click the link to read   Admission Requirements   before starting application process The following documents or attachments are required in order to complete your application:   Recent Digital or Scanned Passport Size Photo with background blue Scanned original Birth Certificate or affidavit Applicant with O-Level Certificate (CSEE): Scanned original O-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with A-Level Certificate (ACSEE): Scanned original O-Level and A-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with VETA Certificate: Scanned original O-Level and VETA Certificate in PDF or Image STEP 2 :: START APPLICATION/BASIC INFORMATION Carefully select your correct Application Type and current education level at right side Enter all the required information. You will be automatically logged into the system based on the username and password. The system automatical...

VIGEZO NA MASHARTI YANAYOHITAJIKA UNAPOTAKA APPLY UDSM

  QUALIFICATION USED DURING APLICATION 1) Applicants under Direct Entry Scheme The Tanzania Commission for Universities (TCU), in collaboration with University Institutions, National Council for Technical Education (NACTE) and other higher education institutions in the country has established a Central Admission System (CAS) which will be operational starting with the 2010/2011 admissions. Applicants with direct qualifications i.e. those who have completed A-level secondary education (Form VI), will have to apply through the Central Admission System as advertised by the TCU. ii) Applicants under Equivalent Qualifications Equivalent Applicants with Diplomas in Education, NTA level 6 and NON-NTA level 6 recognized by TCU/NACTE will also apply through CASS.Other equivalent applicants (such us post-form VI certificates,bachelor degree holders) will continue lodging their applications with the University of Dar es Salaam. All University of Dar es Salaam undergraduate degree pro...

Yaliyomo leo magazetini Haji manara arudi simba,Chadema yapukutika,Niyonzima Okwi sasa kuitajirisha Simba Sc

Image
Morning;     Kama sikosei mpendwa mwanablogger uko mzima wa afya na kama sio basi mwenyezi mungu akupe afueni tuendelee kumuabudu yeye. Leo nimekusogezea vichwa vya habari toka magazeti mbalimbali hebu tuyapitie hapa

Hasara za kunyonyana sehemu za siri.

Image
Zitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke      Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).    Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.     Sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini). Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa mag...