Hasara za kunyonyana sehemu za siri.
Zitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia
(bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).
Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote
tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu,
wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa
hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una
normal flora.
Sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na
kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu
etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi
ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na
kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali
salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).
Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya
zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo
pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya
kujamiiana.
Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha
unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.
Comments
Post a Comment