Posts

MATOKEO YA UDAHILI NACTE KWA KOZI ZA AFYA NA UALIMU PITIA HAPA KUYATIZAMA

The Student's Admission Verification for those who expected to join Health and Teacher Government Institutions has been completed, You can view results of this selection from Your Personal profile by clicking  here , The System will open soon for second round to allow new applicants and those who were eligible and not selected to make there new choices. Thank you.  Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi kwa kubofya  hapa , Mfumo utafunguliwa tena hivi karibuni kuruhusu awamu ya pili kwa waombaji wapya na wale wenye sifa lakini hawakuchaguliwa. Asante.

Hatua za kufuata unapotaka fanya application Muhimbili university.

APPLICATION PROCEDURES STEP 1 :: READ APPLICATION REQUIREMENTS Please click the link to read   Admission Requirements   before starting application process The following documents or attachments are required in order to complete your application:   Recent Digital or Scanned Passport Size Photo with background blue Scanned original Birth Certificate or affidavit Applicant with O-Level Certificate (CSEE): Scanned original O-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with A-Level Certificate (ACSEE): Scanned original O-Level and A-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with VETA Certificate: Scanned original O-Level and VETA Certificate in PDF or Image STEP 2 :: START APPLICATION/BASIC INFORMATION Carefully select your correct Application Type and current education level at right side Enter all the required information. You will be automatically logged into the system based on the username and password. The system automatical...

VIGEZO NA MASHARTI YANAYOHITAJIKA UNAPOTAKA APPLY UDSM

  QUALIFICATION USED DURING APLICATION 1) Applicants under Direct Entry Scheme The Tanzania Commission for Universities (TCU), in collaboration with University Institutions, National Council for Technical Education (NACTE) and other higher education institutions in the country has established a Central Admission System (CAS) which will be operational starting with the 2010/2011 admissions. Applicants with direct qualifications i.e. those who have completed A-level secondary education (Form VI), will have to apply through the Central Admission System as advertised by the TCU. ii) Applicants under Equivalent Qualifications Equivalent Applicants with Diplomas in Education, NTA level 6 and NON-NTA level 6 recognized by TCU/NACTE will also apply through CASS.Other equivalent applicants (such us post-form VI certificates,bachelor degree holders) will continue lodging their applications with the University of Dar es Salaam. All University of Dar es Salaam undergraduate degree pro...

Yaliyomo leo magazetini Haji manara arudi simba,Chadema yapukutika,Niyonzima Okwi sasa kuitajirisha Simba Sc

Image
Morning;     Kama sikosei mpendwa mwanablogger uko mzima wa afya na kama sio basi mwenyezi mungu akupe afueni tuendelee kumuabudu yeye. Leo nimekusogezea vichwa vya habari toka magazeti mbalimbali hebu tuyapitie hapa

Hasara za kunyonyana sehemu za siri.

Image
Zitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke      Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).    Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.     Sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini). Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa mag...

MAGAZETI YA LEO 21 JUNE 2017 UDAKU MICHEZO NA HABARI ZA KITAIFA

Image
Habarini za asubuhi wanablog asubuhi ya leo nimekusogezea vichwa mbalimbali vya magazeti kutoka vyanzo mbalimbali.

MAJINA YA JKT AWAMU YA PILI 2017

Image
    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria. Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017. Mkuu wa JKT, kwa mara nyingine tena, anawakaribisha vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu. Orodha kamili ya majina ya vijana hao walioongezwa, maeneo ya makambi ya JKT waliyopangiwa na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo inapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz . Usomapo tangazo hili mtaarifu na mwenzio. KUONA MAJINA HAYO CLICK HIYO LINK HAPO CHINI                   http://www.jkt....