Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 09-06-2017 TAARIFA KWA UMMA Tafadhali bofya chini Kujua Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi Mwaka 2017. Bonyeza hapo chini kwenye link mojawapo Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Kwanza 2017 Watakaochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Pili 2017
APPLICATION PROCEDURES STEP 1 :: READ APPLICATION REQUIREMENTS Please click the link to read Admission Requirements before starting application process The following documents or attachments are required in order to complete your application: Recent Digital or Scanned Passport Size Photo with background blue Scanned original Birth Certificate or affidavit Applicant with O-Level Certificate (CSEE): Scanned original O-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with A-Level Certificate (ACSEE): Scanned original O-Level and A-Level Education Certificate in PDF or Image Applicant with VETA Certificate: Scanned original O-Level and VETA Certificate in PDF or Image STEP 2 :: START APPLICATION/BASIC INFORMATION Carefully select your correct Application Type and current education level at right side Enter all the required information. You will be automatically logged into the system based on the username and password. The system automatical...
ZIJUE AINA 10 ZA WANAWAKE WANAOPENDWA ZAIDI NA WANAUME 1. WENYE MSIMAMO Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, walio makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio. 2. WAPENDA USAWA Aina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50. 3 . WANAOJUA MAPENZI Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa ni uwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwa sita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaume bila kujali sifa zao za nje au za nd...
Comments
Post a Comment