Posts

Showing posts from June, 2017

MAGAZETI YA LEO 21 JUNE 2017 UDAKU MICHEZO NA HABARI ZA KITAIFA

Image
Habarini za asubuhi wanablog asubuhi ya leo nimekusogezea vichwa mbalimbali vya magazeti kutoka vyanzo mbalimbali.

MAJINA YA JKT AWAMU YA PILI 2017

Image
    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria. Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017. Mkuu wa JKT, kwa mara nyingine tena, anawakaribisha vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu. Orodha kamili ya majina ya vijana hao walioongezwa, maeneo ya makambi ya JKT waliyopangiwa na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo inapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz . Usomapo tangazo hili mtaarifu na mwenzio. KUONA MAJINA HAYO CLICK HIYO LINK HAPO CHINI                   http://www.jkt....

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA 2017/2018

   NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYASERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018  UTANGULIZI Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti Nna Stashahada kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Masomo yataanza mwezi Septemba, 2017. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu Tarajali ambao watapenda kuajiriwa na Serikali wanapaswa wawe na umri usiozidi miaka 35 wakati wanapomaliza mafunzo yao. Aidha, waombaji wa mafunzo kazini ambao ni watumishi wa Serikali na wa mashirika binafsi hawahusiki na umri huu.Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu waSayansi na Hisabati,kipaumbele katika udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo hayo . Wahitimu wa Kidato cha Sita mwaka 2017 wanayo fursa ya kuomba kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya Ualimu kwa mwaka2017/2018.Kwa waombaji wa programu za Ualimu katika Vyuo vya Se...

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 NA UFUNDI 2017

Image
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 09-06-2017 TAARIFA KWA UMMA Tafadhali bofya chini Kujua Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi Mwaka 2017. Bonyeza hapo chini kwenye link mojawapo   Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Kwanza 2017 Watakaochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Pili 2017

UDAKU, MICHEZO NA HABARI ZA KITAIFA LEO JUMAMOSI 10/06/2017

Image
HABARI MABALIMBALI ZA MAGAZETI MICHEZO NA HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA                             Good morning wanablog; Leo tarehe 10/06/2017 jumamosi nimekusogezea habari mbalimbali kutoka katika magazeti pendwa ndani ya Tanzania ili uweze kuhabarika pitia blog yako pendwa hivyo basi unaweza pitia vichwa hivi hapa chini vya habari.

VIDEO ZA MATUKIO KUTOKA BUNGENI LEO 02/06/2017

Habari za mida hii ndugu yangu     Leo kutokea Bungeni mjini Dodoma kwenye Bunge linaloendelea la bajeti mbunge wa Kibamba John Mnyika ametolewa nje na askari wa Bunge kwa amri ya Spika.     John Mnyika amesimamishwa na Spika wa Bunge kuhudhuria vikao vya Bunge kwa mda wa siku 7.Wakati huohuo Wabunge wa Upinzani wametoka nje kufuatia Mbunge wa Kibamba kutolewa nje na Askari wa Bunge kwa amri ya Spika.     Spika wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza kamati ya maadili ya Bunge kumjadili Mbunge wa Bunda Esther Bulaya akidaiwa kusababisha vurugu Bungeni.   Vilevile Spika Job Ndugai ameiagiza kamati ya maadili ya Bunge kumshauri kuhusu hatua za kuchukua dhidi ya Mbunge wa kawe Halima Mdee hasa ikizingatiwa kwa mujibu wa adhabu yake iliyopita kiti cha spika kingeweza kumpa adhabu bila kumpeleka kwenye kamati ya maadili.         kucheck video za matukio click hzo link hapo chini zinakupeleka moja kwa moja   ...