VIDEO ZA MATUKIO KUTOKA BUNGENI LEO 02/06/2017

Habari za mida hii ndugu yangu
    Leo kutokea Bungeni mjini Dodoma kwenye Bunge linaloendelea la bajeti mbunge wa Kibamba John Mnyika ametolewa nje na askari wa Bunge kwa amri ya Spika.

    John Mnyika amesimamishwa na Spika wa Bunge kuhudhuria vikao vya Bunge kwa mda wa siku 7.Wakati huohuo Wabunge wa Upinzani wametoka nje kufuatia Mbunge wa Kibamba kutolewa nje na Askari wa Bunge kwa amri ya Spika.

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza kamati ya maadili ya Bunge kumjadili Mbunge wa Bunda Esther Bulaya akidaiwa kusababisha vurugu Bungeni.

  Vilevile Spika Job Ndugai ameiagiza kamati ya maadili ya Bunge kumshauri kuhusu hatua za kuchukua dhidi ya Mbunge wa kawe Halima Mdee hasa ikizingatiwa kwa mujibu wa adhabu yake iliyopita kiti cha spika kingeweza kumpa adhabu bila kumpeleka kwenye kamati ya maadili.
        kucheck video za matukio click hzo link hapo chini zinakupeleka moja kwa moja 
                                        
                                         (  https://youtu.be/5z617yD0HN8 )
                                           ( https://youtu.be/wFkzaXhP8CE ) 


Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 NA UFUNDI 2017

Hatua za kufuata unapotaka fanya application Muhimbili university.

Wanawake wanaopendwa zaid na wanaume