BREAKING NEWS KUTOKA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA
MABADILIKO TOKA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
Leo tarehe 24/05/2017 tume ya kudahili wanafunzi wa elimu ya juu Tanzani (TCU) imetoa tangazo katika website yao kua kwa mwaka wa masomo 2017/2018 wale waombaji wanaotazamiwa kuomba vyuo vikuu katika shahada ya kwanza katika vyuo mbalimbali za kitaaluma zilizokua zikitolewa na Tume sasa hivi utakua unafanywa moja kwa moja katika chuo husika na hii wamesema mfumo huu utaruhusiwa pale tu utakapotangazwa na Tume.
Hii ina maanisha kuanzia siku watakapotangaza kua watu wafanye maombi basi kila anaetaka omba masomo ya elimu ya juu atatakiwa aende chuo husika kuomba hapoo na sio kupitia TCU tena. Wamejaribu kuweka na vigezo vyao hapo unaweza viangalia hapa chini;
Kwa kuangalia zaidi unaweza tembele ukurasa wa TCU pitia hii link nilokuekea hapa chini
http://www.tcu.go.tz/images/documents/Change_of_Admission.pdf
Shukrani kwa kutembelea blog yako pendwa kwa habari mbalimbali usikose kushare na wengine wajue hili.
Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapoo.
Comments
Post a Comment