VIDEO FUPI IKIONESHA RAIS UHURU KENYATA KUOMBOLEZA AJARI YA KARATU

                                                          AJARI YA KARATU
       Ni msiba mkubwa ambao umeikumba Tanzania hapo jana katika eneo la RHOTIA Marera, wilayani Karatu Mkoani Arusha majira ya saa 3 asubuhi.
      Ajari hiyo imesababisha idadi ya vifo 32 wa darasa la 7, walimu 2 na dereva wa gari la shule hiyo ya msiingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha .
      Wanafunzi na waalimu hao walikua wakitoka shuleni kwao kwenda shule ya msingi iitwayo Tumaini kwa ajiri ya kufanya mtihani wa ujirani mwema na walipofika katika eneo la Rhotia Marera Basi walilopanda liliacha njia na kisha kutumbukia korongoni ambako limesababisha vifo hivyo na majeruhi watatu.
                                      HIZI CHINI NI BAADHI YA PICHA ZA KUSIKITISHA
     


 Baada ya ajari hiyo wadau wengi Nchi na watu mbalimbali wanajitahidi kuonesha kuguswa na hili  swala moja wapo ni KENYA ambapo Rais UHURU KENYATTA ALIWAONGOZA WAKENYA KUOMBOLEZA KWA AJIRI YA VIFO VYA WANAFUNZI WA LUCKY VINVENT.
                            HII NI VIDEO FUPI IKIONESHA TUKIO ZIMA
Click hii link itakupeleka moja kwa moja   https://youtu.be/_gAxMxUjzVc
                  EWE MWENYEZI MUNGU WALAZE MAHALA PEMA MAITI WOTE
                                                        AAMIIN.....
   
                Please add your comments for more corrections

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 NA UFUNDI 2017

Hatua za kufuata unapotaka fanya application Muhimbili university.

Wanawake wanaopendwa zaid na wanaume