MKENYA ALIYE BET NA KUPATA 4.7 BILLION

Huyu ndiye mkenya aliyefanikiwa kubet billion 4.7
    Samuel Abisai mwenye umri wa miaka 28 ambaye ni mzaliwa wa Kakamega, magharibi mwa kenya ndiye amefanikiwa kua wa kwanza kujishindia kiasi kikubwa cha pesa .
  Mkenya huyo aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya Sh 221m za kenya {Tshs 4.7 billioni} ambazo ni sawa na dola 2.2m za Marekani.
   Mshindi huyo wa mega jackport ya kampuni ya Sportpesa alianza kubashiri matokeo mwaka jana baada ya kutambulishwa kwa mchezo huo na nduguye.
Souce bbcswahhili.
  

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 NA UFUNDI 2017

Hatua za kufuata unapotaka fanya application Muhimbili university.

Wanawake wanaopendwa zaid na wanaume