TABIA 7 ZA WANAWAKE WANAO CHEAT
ZIJUE TABIA 7 ZA WANAWAKE WANAO CHEAT
Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia
zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.
1) ANABOREKA KIRAHISI
Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi
kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume
atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai
faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits.
2) MARAFIKI WENGI WA KIUME
Mwanamke mwenye marafiki wengi
wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume
wengine, watamsifia anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja
kwa wiki basi wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa
out na mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.
3) ANAPENDA ATTENTION
Wanawake wanaopenda attention ni
rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa ambao hawataki kuwa committed kwenye
mahusiano yoyote wanatoa sana attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana
attention hawezi ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.
4) Anapenda vitu “material things” Wanawake wengi wanaopenda
material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka kwa waume zao au
maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine ambaye ana uwezo wa
kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake kwenye instagram.
5) ANA MARAFIKI AMBAO NI MICHEPUKO
Umeshasikia usemi kuwa
ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana tabia ya ku-cheat,
akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu.
Kama mke wako au demu wako ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat
mwambie aachane nao haraka sana.
6) ANAPENDA KUFANYA NGONO KULIKO WEWE
Kila mkimaliza
kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena, na wewe humtimizii basi
lazima tatafuta serengeti boy ambaye anamsikiliza na kumpa anachotaka.
7) ANAUJUZI KITANDANI KULIKO WEW
Wewe kama umeshawahi
kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu ambaye anajua kucheza kuliko
wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae chini kabla hujaaibishwa, au kama wewe
ndio unayejua kucheza vizuri utatafuta mtu mwingine anayejua kucheza kama wewe.
Kwenye tendo la ndoa ni hivyo hivyo kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe,
inabidi ufanye mazoezi ufikie kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu
atasubiri wimbo ukiisha akakae chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza
kama yeye.
Demu wako au mchepuko wako una tabia moja wapo kati ya
nilizozitaja hapo juu?
Usisite kuacha comments hapo chini.
Comments
Post a Comment