Mapacha wenye ndoto ya kuolewa pamojaa.
Mapacha hao ambao ni Maria na Consolata ni wasichana pacha
ambao walizaliwa wakiwa wameungana nchini Tanzania.
Mapacha hao kwa sasa wana umri wa miaka 19 ambao wamefika
kidato cha sita wakiwa katika hatua za mwisho za kufanya mitihani
yao ya kuhitimu masomo ya sekondari.
Mapacha hao ambao wanasoma katika shule ya sekondari Udzungwa
Mkoani Iringa kusini magharibi mwa Tanzania.
Ndoto yao kubwa ni kujiunga na chuo kikuu na mwishowe kuwa
waalim na vilevile wangependa kuolewa pamoja na mwanamume mmoja.
Kwa mungu yote yanawezekana tuwaombee.
Comments
Post a Comment