Jana siku ya jumamosi katika eneo la kitivo cha tiba na sayansi muambata (CHAS) UDOM kulifanyika mkutano mkuu wa UNISATA taifa likishirikisha wanachama toka sehemu mbalimbali katika vyuo vikuu vya uuguzi Tanzania.
Kikao hicho kilihudhuriwa na wageni wafuatao;
- Mkurugenzi toka wizara ya afya katika idara ya huduma za uuguzi na ukunga.
- Makamu mwenyekiti TANNA taifa.
- Viongozi mbalimbali wawakilishi toka vyuo mbalimbali nchini vya uuguzi .
Katika kikao hicho mengi yamejadiliwa mazuri watu wameweza kujibiwa madukuduku yao na kupewa vitu vingine vya ziada.
Sambamba na hilo kulifanyika uchaguzi ambapo viongozi wapya wa UNISATA walipatikana mnamo mida ya magharib ambapo Rais mpya wa UNISATA now anaitwa
- HERMAN ALOYCE MBILO KUTOKA MUHAS (RAIS)
- HONORAS FRANSIS KUTOKA CUHAS (VICE)
- LILIAN ANATORY KUTOKA HKMU (G/SECRETARY)
Hapa chini nimekuwekea baadhi ya picha za matukio yaliyokua yakiendelea
 |
Mwakilishi IMTU |
 |
Rais aliyeacha madaraka |
 |
Mgeni mwalikwa toka wizarani na Rais aliyeacha |
 |
Picha ya pamoja library CHAS |
 |
Bogger boy akiwa na M/kiti UDOM |
Comments
Post a Comment